Newspapers

Taifa Weekly newspaper of January 10,1981, Issue No. 1272

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Rais Daniel arap Moi aliwaamuru Wakuu wa Wilaya watumie busara zao katika kutoa vibali vya usafirishaji vyakula ili kuwawezesha wananchi wasafirishe kiasi kidogo cha unga wa mahindi kwa jamaa zao wanaoishi mbali nao.

English Translation

  • President Daniel arap Moi ordered the District Heads to use their discretion in issuing permits transportation of food to enable citizens transport a small amount of corn flour to their relatives who live far from them.