Newspapers

Taifa Weekly newspaper of January 24,1981, Issue No. 1274

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Mashirika mbali mbali za utangazaji wa bidhaa na makampuni yenye kutayarisha vipindi vya redio na televisheni mjini Nairobi yalitisha kufutilia mbali vipindi ambavyo yamekuwa yakidhamini katika Sauti ya Kenya.
  • Hatua hiyo ilitokana na uamuzi wa juzi wa Sauti ya Kenya ya kuongeza ada za malipo ya utangazaji katika redio na televisheni na kupunguza muda wa vipindi vingine vilivyodhaminiwa na makampuni hayo na mashirika hayo.

English Translation

  • Various product advertising organizations and companies with producing radio and television programs in Nairobi threatened to cancel the programs they have been sponsoring in Sauti ya Kenya.
  • The move was based on Sauti ya Kenya’s decision the other day to increase advertising fees in radio and television and reduce the time of other programs guaranteed by those companies and organizations.