Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of June 13,1981, Issue No. 1294

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini walimhakikishia Rais Moi kwamba amani itadumishwa kazini na hakuna kiongozi yeyote wa wafanyakazi atakayewashawishi wafanyakazi wagome.
  • Viongozi wote 33 wa vyama vya wafanya kazi nchini walisema wanamuunga mkono kwa dhati Rais Moi na wako tayari kuhakikisha kwamba amani na umoja vinaimarishwa kazini.

English Translation

  • Leaders of labor unions in the country have assured President Moi that peace will be maintained at work and there is no worker or leader who will persuade the workers to strike.
  • All 33 leaders of labor unions in the country said they sincerely support President Moi and are ready to ensure that peace and unity are strengthened at work.