Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of October 17,1981, Issue No. 1312

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Rais Daniel arap Moi alihakikishia Chuo Kikuu cha Nairobi na cha Kenyatta serikali haitaingilia wajibu wao katika kusimamia vyema shughuli zao.
  • Rais alisema kwamba Baraza Kuu la Mitihani nchini Kenya, Kenya Education Council linapaswa kuachwa lisimamie lenyewe maswala yake bila kuingiliwa kamwe. Rais alisema kwamba kwa kutoingilia wajibu wa vituo hivyo vitatu, serikali itaweza kugundua kwa urahisi sababu za hitilafu zozote zao bila kulaumiwa.

English Translation

  • President Daniel arap Moi assured the University of Nairobi and Kenyatta University that the government will not interfere with their responsibility in properly managing their activities.
  • The President said that the Central Board of Examinations in the Kenya , Kenya Education Council should be left to manage its own affairs without any interference. The President said that by not interfering with the responsibility of those three centers, the government can easily discover reasons for any of their errors without being blamed.