Newspapers

Taifa Weekly Newspaper of September 05,1981, Issue No. 1306

Volume Ref: TW_1981_M034537

  • Rais Daniel arap Moi alisema kwamba WaKenya wote wanastahili kutumikiwa kwa haki kamili bila kubaguliwa kamwe. Aliwataka viongozi wote, wakiwemo watumishi wa serikali, waimarishe umoja na masikilizano miongoni mwa WaKenya wote na kuzingatia haki katika wajibu wake wote.

English Translation

  • President Daniel arap Moi said that all Kenyans deserve to be served with full justice without ever being discriminated against. He asked all the leaders including government employees, strengthen unity and dialogue among all Kenyans and consider justice in all his duties.