Newspapers

Taifa Weekly suala la 1425 Januari 14,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Mmoja kati ya mawakili wawili wanaomtetea Bw Charles Mugane Njonjo, katika uchunguzi wa madai makali aliyofanyiwa alimtaka mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi kuwaeleza wanakoelekea kutokana na uchunguzi huo.

English translation below

  • One of the two lawyers defending Mr Charles Mugane Njonjo, in the investigation of the severe allegations that were made against him wanted the chairman of the investigation commission to tell them where they are going from the investigation.