Newspapers

Taifa Weekly suala la 1433 Machi 10,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Waziri Mkuu wa Afrika Kusini, Pieter Botha na Rais Samora Machel wa Mozambique, wataweka sahihi mapatano ya amani kati ya nchi hizo katika sherehe itakayofanyiwa mpakani mwa nchi hizo. Mapatano hayo yatafikiwa kutokana na mikutano kadha kati ya maafisa wakuu wa nchi zote mbili iliyofanywa.

English translation below

  • Prime Minister of South Africa, Pieter Botha and Rais Samora Machel of Mozambique will sign a peace agreement between those countries in the ceremony that will be held at the border of those countries. The agreement will be reached through several meetings between senior officials of both countries made.