Newspapers

Taifa Weekly suala la 1441 Mei 5,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Tume inayopiga darubini nyendo za zamani za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Katiba, Bw Charles Njonjo, iliamua kwamba yaweza kumwita Bw Njonjo wakati wowote ajitete kutokana na madai aliyofanyiwa, lakini kwa wakati huu mawakili wanaoisaidia tume waendelee mbele kuchambua ushahidi zaidi dhidi ya Waziri huyo wa zamani.

English translation below

  • The commission that looks into the past activities of the former Minister of Constitutional Affairs Mr. Charles Njonjo decided that it could call Mr Njonjo at any time to defend himself due to the allegations made against him, but at this time the lawyers those helping the commission continue to analyze more evidence against the former Minister.