Newspapers

Taifa Weekly suala la 1442 Mei 12,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Rais Moi aliwahimiza wanajeshi wawatumikie Wakenya wenzao kadiri wawezavyo. Alisema taifa lisilo na utamaduni wake halistahili haeshima ya kitaifa. Rais Moi alisema anafurahia mwenendo wa wanajeshi akisema kwa kuridhika kwamba wanajeshi wakati huu wanajishughulisha na kazi za ujenzi wa taifa kama vile ujenzi wa barabara na nyinginezo.

English translation below

  • President Moi urged the soldiers to serve their fellow Kenyans as much as they can. He said a nation without its culture does not deserve national honor. President Moi said he is happy with the behavior of the soldiers saying with satisfaction that the soldiers this time they are engaged in nation building tasks such as road construction and others.