Newspapers

Taifa Weekly suala la 1443 Mei 19,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Bima ya kulinda pesa za wanachama wa vyama vya ushirika vya akiba na mikopo nchini itatolewa hivi karibuni na Wizara ya Ustawi wa Vyama vya Ushirika. Wizara itatoa taarifa kwa vyama vyote vya akiba na mikopo kuhusu bima ya kulinda akiba za wanachama ili kupunguza hatari ya mikopo kupotea.

English translation below

  • Insurance to protect the money of the members of saccos associations and loans in the country will be provided soon by the Ministry of Cooperative Development. The Ministry will provide information to all savings and credit associations about insurance to protect members’ savings to reduce the risk of lost loans.