Newspapers

Taifa Weekly suala la 1447 Juni 16,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Tamaa na upupa ya wafanya biashara fulani walioamua kuficha baadhi muhimu kama vile unga na mafuta ya kupika wakihisia kwamba bei zitapandishwa ili wanufaike, walipata kipigo cha mwaka baada ya waziri wa fedha George Saitoti kusoma bajeti yake. Ili kuwafurahisha wananchi ambao chakula chao kikuu ni sima, aliamua kutoongeza hata ndururu bei za bidhaa muhimu.

English translation below

  • Desire and stupidity of some businessmen who decided to hide some essentials such as flour and cooking oil sensing that prices would be raised to their advantage, they took a hit the year after the Minister of Finance George Saitoti read the budget. To please the people whose main food is Ugali, he decided not to increase the prices of essential products