Newspapers

Taifa Weekly suala la 1449 Juni 30,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • “Uamuzi wa kusimamisha kamati kuu ya Harambee Savings and Credit Co-operative Society, ulieleza kama kashfa na usio na maana,” alisema mwenyekiti mdogo wa kamati hiyo, Bw Andrew Ligale. Bw Ligale aliendelea kusema uamuzi huo uliwaharibia majina wanachama wema wa kamati hiyo, ambao wanajitahidi kuitumikia kwa uthabiti.

English translation below

  • “The decision to suspend the executive committee of the Harambee Savings and Credit Co-operative Society, was described as scandalous and meaningless” said the sub-chairman of the committee Mr. Andrew Ligale. Mr Ligale continued to say that the decision ruined the names of the good members of the committee, who strive to serve it steadfastly.