Newspapers

Taifa Weekly suala la 1460 Septemba 15,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Chama kinachotawala cha Kanu, kiliwafukuza kabisa wanachama wake 15 ambao sasa hawataweza kushiriki katika shughuli zozote za kisiasa nchini kwaa vilae katiba ya Kenya inaruhusu kuwepo kwa chama kimoja tu cha siasa.

English translation below

  • Kanu’s ruling party completely expelled its 15 members who are now,, will not be able to participate in any political activities in the country because of the constitution of Kenya allows the existence of only one political party.