Newspapers

Taifa Weekly suala la 1461 Septemba 22,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Serikali ilionya kampuni zingine za bima zisianze kutoza ada mpya za bima kwa matatu. Katika taarifa iliyotoa, Serikali iliziambia kampuni za bima nchini kwamba inachunguza swala la ada za bima za matatu.

English translation below

  • The government warned other insurance companies not to start charging new insurance fees for matatus in the report given. The government told insurance companies in the country that it is investigating the issue of matatu insurance fees.