Newspapers

Taifa Weekly suala la 1462 Septemba 29,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Waziri wa Nchi katika Afisi ya Rais, Bw Justus ole Tipis, amesema kuwa juhudi zote zitafanywa kuwafagia polisi wafisadi na wanaokula hongo katika kikosi hicho. Bw Tipis alieleza kwamba Serikali na wananchi kwa jumla walikuwa wakikagua kwa makini vitendo vinavyofanywa na maafisa wanaopenda hongo na siku watakapokamatwa “wajue kwamba wataangamizwa.”

English translation below

  • Minister of State in Office of the President, Mr Justus ole Tipis, has said that all efforts will be made to sweep the corrupt and bribe-taking police in the force. Mr Tipis explained that the Government and citizens in general were carefully reviewing the actions carried out by officers who love bribes and the day they are caught “know that they will be destroyed.”