Newspapers

Taifa Weekly suala la 1464 Oktoba 13,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Rais Moi aliwalaani baadhi ya Wakenya ambao wana tabia ya kuitusi nchi yao na wale wanaiba mali ya wananchi bila kujali akionya kwamba watu hao hawatavumiliwa. Aliongeza kusema atakuwa mkali sana na watu wanaoitukana nchi hii na kufanya vitendo vingine vilivyo kinyume cha sheria zilizowekwa nchini.

English translation below

  • President Moi condemned some Kenyans who have a habit of insulting their country and those who steal the people’s property regardless, warning that those people will not be tolerated. He added that he will be very strict with people who insult this country and do other actions that are against the laws established in the country.