Newspapers

Taifa Weekly suala la 1465 Oktoba 20,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Rais Moi alaiagiza Wizara wa Fedha, Banki Kuu ya Kenya, Mkuu wa Sheria na polisi kuwachukulia hatua kali watu wadanganyifu wanaovunja kanuni zinazosimamia ubadilishaji wa fedha za kigeni. Kuhusu wanaovunja kanuni zinazosimamia ubadilishaji wa fedha za kigeni, Rais aliwaeleza kama watu wenye mguu mmoja hapa Kenya na mwingine pahali pengine na daima wanabuni njama za kushinda kanuni hizo.

English translation below

  • President Moi instructed The ministry of Finance, Central Bank of Kenya, Head of Law and the police to take strict action against fraudulent people who break regulations governing foreign exchange. About those who break the rules governing the exchange of foreign currencies, the President described them as people with one leg here in Kenya and another somewhere else and they are always devising conspiracies to overcome those rules.