Newspapers

Taifa Weekly suala la 1469 Novemba 17,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Mkutano wa 20 wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), ulimalizika hapa huku viongozi wakiomba misaada zaidi ya kigeni kuwaokoa mamilioni ya Waafrika wanaotaabika kwa njaa kutokana na ukame mkali wa muda mrefu. Akiongea kabla ya kufunga mkutano huo, mwenyekiti mpya, Rais Julius Nyerere wa Tanzania, alisema ukame huo umekumba Afrika wakati ambapo bara hili linakabiliana na matatizo makubwa.

English translation below

  • 20th meeting of the Union of Independent African States (OAU), ended as the leaders asked for more foreign aid to save millions of Africans who are suffering from hunger due to severe drought for a long time. Speaking before closing the meeting, the new chairman President Julius Nyererwe of Tanzania, said the drought has hit Africa at a time when this continent is facing serious problems.