Newspapers

Taifa Weekly suala la 1470 Novemba 24,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Chama kikuu cha wafanya kazi Cotu kilipinga vikali amri ya majuzi ya Katibu Mkuu wa Serikali, Bw Simeon Nyachae, ya kufutilia mbali malupulupu ya likizo ya watumishi wa mashirika ya kitaifa kuazia mwaka ujao. Cotu iliazimia kwamba barua ya Katibu Mkuu ya kufutilia mbali malupulupu hayo iondolewe mara moja.

English translation below

  • The main trade union Cotu strongly opposed the recent order of the Secretary General of the Government Mr Simeon Nyachae, to cancel the vacation allowances of the employees of national organizations for next year. Cotu decided that the Secretary General’s letter to cancel the complaints should be removed immediately.