Newspapers

Taifa Weekly suala la 1471 Decemba 1,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Zaidi ya wafanya kazi 2,000 wa Barclays Bank, Kenya Limited, wamesema watagoma kote nchini wakipinga hatua ya banki hiyo ya kusimamisha baadhi ya malupulupu yao. Wafanya kazi hao pia wanataka Mkurugenzi mkuu wao, Bw. J .N. Clark, aondolewe mara moja kwa madai kwamba amekataa kuongea nao.

English translation below

  • More than 2,000 workers of Barclays Bank, Kenya Limited, have said they will strike across the country protesting the bank’s move to stop some of their loans. The workers also want their CEO Mr J .N. Clark, should be removed immediately on the grounds that he has refused to speak with them.