Newspapers

Taifa Weekly suala la 1472 Decemba 8,1984

Volume Ref: TW_1984_M033939

  • Rais Daniel arap Moi ameyataka mabaraza ya wilaya kabla ya kuweka akiba ya fedha katika mashirika ya kifedha nchini, kwanza yapate kibali kutoka kwa Wizara ya Serikali za Wilaya. Mabaraza aliyokuwa hasa akigusia ni yale yanayojiweza kifedha ambayo hayaombi misaada mara kwa mara kutoka kwa Serikali.

English translation below

  • President Daniel arap Moi has asked the district councils before placing money in financial institutions in the country, first get permission from the Ministry of District Governments. The councils he was mainly touching on are those that are financially self-sufficient which does not ask for aid frequently from the Government.